Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

Wakuu,sijui ni stress za maisha au ni nini?
Toka nimefika arusha,kila bar ninayoenda naona wanawake pombe yao kubwa ni konyagi na k vant.
What is wrong with these beautiful ladies?
Pwela la mlima Meru labda ndiyo linawafanya wanywe kufukuza baridi, watu wa mjini Arusha wanatohoa tabia za Kirusi za kupenda pombe kuliko chakula!

Nenda Stend ya mabasi utashangaa, pombe inapimwa kwa tot(vinibu)!

Huo mtindo wa maisha ya kupima pombe kwa kiasi kidogo kama dawa ya kugaiya mgonjwa nilikuwa nishausahau, lakini nimeenda kuukuta Arusha bado unatumika!

Ni walevi sana!
 
Beautiful kwa sura tu, mchokoze uone ngumi atakazozichapa mwakinyo akasome.....kwanza hilo biti lake unaweza hisi sio yeye anaongea
Picha inasza stendi pale tu unashuka ukisikia unaitwa mkakaa unaenda kwa mromboo af ukamjibu majibu yetu ya dar uku et oh naenda mbinguni ase atakujazia watu utakunjwa mpaka utajifunza ustaarabu

Na ujanja wangu wote uhu nikifika Arusha nikifika nakuwa mpole msatarabu sana kuliko kawaida ila nikifika Magufuli stand bus hapa nakuwa kichaa tena mswahili wa tandale
 
Amna kitu apo Arusha Wala ugoro tuh Mimi nilisha piga vibao vingi sana mpiga debe mmoja maeneo ya sanawari
 
Back
Top Bottom