Nimekumbuka nilichofanya siku kama leo mwaka 2019 katika safari yangu ya Mpanda

Kutetea haki ni mtihani. Wengi wamechukiwa ili hali wao wakiwa sahihi.
 
umenikumbusha 2010 nilipewa madogo nisafiri nao kutoka dsm mpaka kahama.

nikapewa hela ya siti tatu,nikakata siti tatu halafu nikawekwa kwenye siti mbili,kuuliza konda naona anazuga zuga tu kama haelewi nani aliyekata tiketi.
 
umenikumbusha 2010 nilipewa madogo nisafiri nao kutoka dsm mpaka kahama.

nikapewa hela ya siti tatu,nikakata siti tatu halafu nikawekwa kwenye siti mbili,kuuliza konda naona anazuga zuga tu kama haelewi nani aliyekata tiketi.
Hawakuwa waungwana hata kidogo
 
Huwa nakereka unalipa siti akae mtoto then anakuja mtu ati ambebe. Kwani mie nimshindwa kubeba nikasave Hiyo nauli ?
 
Sure..ni stori tu toka tukiwa wadogo sijui nani alifanikuwa kuzikuza namna ile.

Ni kama Tanga kwa mara ya kwanza nimekwenda last week.Picha niliokua nayo kuhus Tanga ni vile nimepakuta ni tofauti kabisaaa
Bilashaka ulikuja Tanga mjini. Handeni kwa msisi na pangani umefika ? Usiombe yakukute
 
Wewe ni Putin toleo la kwanza kabisa kwa kweli vita ulivipigana [emoji23][emoji23][emoji23] cheers [emoji482]
 
Kweli ulikua Putin na ulishikilia vizuri jimbo la Donbas japo Zelensky alijaribu kutafuta huruma akijidai ni mwema na wewe ndo uonekane mbaya
 
Laiti tungekuwa na msimamo kama huu dhidi ya serikali,walimu, hospitalini, nyumbani, kwenye biashara na kwa wakuu wetu tungekuwa mbali sana
 
Mkuu hongera, sana kwa msimamo na uandishi Bora sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…