Nimekuta boksa na suruali kwenye chumba cha mpenzi wangu

Nimekuta boksa na suruali kwenye chumba cha mpenzi wangu

Sas asali umeacha ya nini mzee wangu, Dah! umefeli sana alafu kwani ukifuta namba ndo nini sasa? Huyo unasepa zako suala linakuwa limeisha hivyo, mfano mimi jicho tuu linatosha kumfanya mwanamke ajue hapa nimeachwa.
 
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu nanimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi Leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.

Sasa nilipo fika nilimkuta kibarazani anapika aliponiona tu akahamaki uzuri mlango wa chumba chake ulikuwa wazi mimi nikafungua bila hodi nikaingia ila Kuna jambo jipya nimekuta suruali ya kitambaa na boksa, hizi nguo sio zangu nawala Sina nguo kwenye chumba cha mpenzi wangu.

Nina mashaka walikuwa wanakulana na huyu jamaa huenda kaenda kuoga bafuni ila aliposikia makerere kasepa.

Namuuliza mke wangu amesema ameninunulia mitumba eti. Ivi kweli Kuna boxer ni mitumba jamani. Haina shida mimi nimempa zawadi ya asali niliyonunua Juba nimeondoka kwa Amani nimefuta namba zake.
Kuna baadhi ya Wanaume natamani ningekuwa nawajua ili kutokana na Utoto pamoja na Upopoma wenu niwe nawazaba tu Makofi au hata Nawapiga tu Ngumi kabisa.

Hivi kweli kwa Maisha ya sasa kuna Mtu aliye na Mahusiano ambaye akisafiri muda mrefu Yeye huko aliko Hakazi au Hakaziwi aliyemuacha Nyumbani Kwake?

Na mnachonikera zaidi Watu kama Wewe ( uliyekuwa Safarini huko Sudan ) ndiyo Umekaza mpaka basi ila ukisikia au kujua tu Mkeo / Demu wako nae Anakazwa huwa mnajifanya Kufura na hata Kuwadhuru wakati ni Jambo la Kawaida mno kwa Sisi Wanaume Wachache tunaojitambua kutoka hapa nchini Tanzania.

Usikaziwe Mpenzio Wewe nani?
 
Kuna baadhi ya Wanaume natamani ningekuwa nawajua ili kutokana na Utoto pamoja na Upopoma wenu niwe nawazaba tu Makofi au hata Nawapiga tu Ngumi kabisa.

Hivi kweli kwa Maisha ya sasa kuna Mtu aliye na Mahusiano ambaye akisafiri muda mrefu Yeye huko aliko Hatombi au Hatombewi aliyemuacha Nyumbani Kwake?

Na mnachonikera zaidi Watu kama Wewe ( uliyekuwa Safarini huko Sudan ) ndiyo Umetomba mpaka basi ila ukisikia au kujua tu Mkeo / Demu wako nae Anatombeka huwa mnajifanya Kufura na hata Kuwadhuru wakati ni Jambo la Kawaida mno kwa Sisi Wanaume Wachache tunaojitambua kutoka hapa nchini Tanzania.

Usitombewe Mpenzio Wewe nani?
😁😁😄 punguza jazba mkulungwa
 
Popoma limerudi,,,,, nyieee njooni mmpe ban huyu njugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom