Nimekuta boksa na suruali kwenye chumba cha mpenzi wangu

Nimekuta boksa na suruali kwenye chumba cha mpenzi wangu

We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Si unajua kwako Sijiwezi me siwezi ntalia

Baby nakupenda ndio
Sikliza moyo wangu unavyokwenda mbio (yaani kasi)
Usinipe wasiwasi nighaasi
Ila ukinitenda sio
Nakutaka wewe tu baby boo haya
Nidanganye tuu uwe true lier
Ila ni vibaya ukinitupa kwenye fire
Nipige kama kinanda na me niimbe kama kwaya
Kitaa kuna tetesi eti machizi kibao wanakuona mwepesi
Sihitaji ukweli baby please
Sitanuna hata nikikufuma na KGT
Niambie kaka yako tu basi
Love inanipa stimu kama nyasi
Japo nipo fit kama nyati
Kwako sitaki vita nipo peace mpaka basi​
 
Kuna baadhi ya Wanaume natamani ningekuwa nawajua ili kutokana na Utoto pamoja na Upopoma wenu niwe nawazaba tu Makofi au hata Nawapiga tu Ngumi kabisa.

Hivi kweli kwa Maisha ya sasa kuna Mtu aliye na Mahusiano ambaye akisafiri muda mrefu Yeye huko aliko Hakazi au Hakaziwi aliyemuacha Nyumbani Kwake?

Na mnachonikera zaidi Watu kama Wewe ( uliyekuwa Safarini huko Sudan ) ndiyo Umekaza mpaka basi ila ukisikia au kujua tu Mkeo / Demu wako nae Anakazwa huwa mnajifanya Kufura na hata Kuwadhuru wakati ni Jambo la Kawaida mno kwa Sisi Wanaume Wachache tunaojitambua kutoka hapa nchini Tanzania.

Usikaziwe Mpenzio Wewe nani?
Hahahahah na WAKATI ye mwenyewe ,Kesha wakaza wasudani uko alikotoka... hahahahah [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom