Nimekuta boksa na suruali kwenye chumba cha mpenzi wangu

Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu nanimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi Leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.

Sasa nilipo fika nilimkuta kibarazani anapika aliponiona tu akahamaki uzuri mlango wa chumba chake ulikuwa wazi mimi nikafungua bila hodi nikaingia ila Kuna jambo jipya nimekuta suruali ya kitambaa na boksa, hizi nguo sio zangu nawala Sina nguo kwenye chumba cha mpenzi wangu.

Nina mashaka walikuwa wanakulana na huyu jamaa huenda kaenda kuoga bafuni ila aliposikia makerere kasepa.

Namuuliza mke wangu amesema ameninunulia mitumba eti. Ivi kweli Kuna boxer ni mitumba jamani. Haina shida mimi nimempa zawadi ya asali niliyonunua Juba nimeondoka kwa Amani nimefuta namba zake.
Yaaa! Boksa za mtumba zipo ndugu. Vaa maisha yaendelee. Huyo demu anakufaa Sana maana anajali.
 
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu nanimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi Leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.

Sasa nilipo fika nilimkuta kibarazani anapika aliponiona tu akahamaki uzuri mlango wa chumba chake ulikuwa wazi mimi nikafungua bila hodi nikaingia ila Kuna jambo jipya nimekuta suruali ya kitambaa na boksa, hizi nguo sio zangu nawala Sina nguo kwenye chumba cha mpenzi wangu.

Nina mashaka walikuwa wanakulana na huyu jamaa huenda kaenda kuoga bafuni ila aliposikia makerere kasepa.

Namuuliza mke wangu amesema ameninunulia mitumba eti. Ivi kweli Kuna boxer ni mitumba jamani. Haina shida mimi nimempa zawadi ya asali niliyonunua Juba nimeondoka kwa Amani nimefuta namba zake.

Weka boksa na suruali yako ili naye akija aikute​

Hiyo boksa nyeusi ni yangu na hiyo suruali ya kitambaa ni yangu pia mm huwa navaa mayenu kama DEFAO.
Sikuwepo siku ile unakuja,nililala siku tatu nyuma..
Kwa hiyo umesusa unajiachia mazima nije kujiachia kwa raha zangu?
 
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu nanimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi Leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.

Sasa nilipo fika nilimkuta kibarazani anapika aliponiona tu akahamaki uzuri mlango wa chumba chake ulikuwa wazi mimi nikafungua bila hodi nikaingia ila Kuna jambo jipya nimekuta suruali ya kitambaa na boksa, hizi nguo sio zangu nawala Sina nguo kwenye chumba cha mpenzi wangu.

Nina mashaka walikuwa wanakulana na huyu jamaa huenda kaenda kuoga bafuni ila aliposikia makerere kasepa.

Namuuliza mke wangu amesema ameninunulia mitumba eti. Ivi kweli Kuna boxer ni mitumba jamani. Haina shida mimi nimempa zawadi ya asali niliyonunua Juba nimeondoka kwa Amani nimefuta namba zake.
Mzee una nyuzi kila siku mpya.
 
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu na nimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.

Ningekuwa mimi ningekunya hapo kitandani na kukojoa kisha nasepa mazima.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu na nimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.

Sasa nilipo fika nilimkuta kibarazani anapika aliponiona tu akahamaki uzuri mlango wa chumba chake ulikuwa wazi mimi nikafungua bila hodi nikaingia ila Kuna jambo jipya nimekuta suruali ya kitambaa na boksa, hizi nguo sio zangu nawala Sina nguo kwenye chumba cha mpenzi wangu.

Nina mashaka walikuwa wanakulana na huyu jamaa huenda kaenda kuoga bafuni ila aliposikia makerere kasepa.

Namuuliza mke wangu amesema ameninunulia mitumba eti. Ivi kweli Kuna boxer ni mitumba jamani. Haina shida mimi nimempa zawadi ya asali niliyonunua Juba nimeondoka kwa Amani nimefuta namba zake.
Kwa hiyo "hawara mwenza" kakimbia huku kajifunga kanga ya hawara yenu?😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom