Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Acha utoto mkuu muulize au mkeo kakushika MASIKIO yaan unamwogopa KUJIUA SIO SOLUTION
 
Asante sana ila nahitaji kuwa sawa kidogo kiakili nikijua kama alinichit nitaua

Dunia inazunguka usiombe yakukute tema mate chini
una ndoa ya miaka 4, nimeishi na mwanamke miaka 26 sasa, we ni kijana wangu, issue sio yanikute, issue hapa ni maamzi, haiwezekani umkute na vitu hivo haraf ufikiri ni vya rafiki yake imevisahau, ok hata kama ndivo hivo, what are their ties if it's true on your ideal proposal???

Your are not authoritative, your are not decision maker, your poor married man, tuishie hapo
 
Labda kagaiwa oficin...zipo ofisi mnagaiwa...au labda anampelekea mtu...uliza.
Tufanye sawa,Kondom alipewa kazini..Na kilainishi (KY) nacho anapewa kazini ili kulainisha mfereji mzigo Ukiwa unakuja usikwame kwame? Unamfanya mwanaume mwenzio azidi kuwa zombi mkuu.Mwambie tu ukweli mkewe anatoa huduma nje.
 
Unakuta mtu anagawa jicho ww ndani kukupa anaogopa utamchuliaje so bora akatoe nje..


bt tusiwe na fikra mbovu fanya kwanza uchunguzi.
 
Ukimuona mwanamke ni yeye na condom, condom na yeye usijisumbue kabisa kumuuliza muache tafuta mwingine
 
Umepataje nguvu ya kuja kupost humu?
 
Mpongeze anajali afya yako na yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…