Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya
una ndoa ya miaka 4, nimeishi na mwanamke miaka 26 sasa, we ni kijana wangu, issue sio yanikute, issue hapa ni maamzi, haiwezekani umkute na vitu hivo haraf ufikiri ni vya rafiki yake imevisahau, ok hata kama ndivo hivo, what are their ties if it's true on your ideal proposal???Asante sana ila nahitaji kuwa sawa kidogo kiakili nikijua kama alinichit nitaua
Dunia inazunguka usiombe yakukute tema mate chini
Tufanye sawa,Kondom alipewa kazini..Na kilainishi (KY) nacho anapewa kazini ili kulainisha mfereji mzigo Ukiwa unakuja usikwame kwame? Unamfanya mwanaume mwenzio azidi kuwa zombi mkuu.Mwambie tu ukweli mkewe anatoa huduma nje.Labda kagaiwa oficin...zipo ofisi mnagaiwa...au labda anampelekea mtu...uliza.
Ukimuona mwanamke ni yeye na condom, condom na yeye usijisumbue kabisa kumuuliza muache tafuta mwingineHabari wanajamvi mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta conom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu
#depression is real
Mpongeze anajali afya yako na yakeHabari wanajamvi mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta conom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu
#depression is real
Mchungaji hatokusaidia mkuu , wewe ndio mwenye maamuziAsante kwa ushauri ndugu ila najaribu kumwambia mchungaji nione atanisaidiaje
Koromeo lako ni kama la Dragon eehKuna watu mna koromeo, nisingeweza kuvumilia hata nusu saa, ningewasha moto hatari!!