KIBOD3
Senior Member
- Sep 11, 2016
- 151
- 228
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.
Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2, sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.
Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha, naombeni ushauri wenu.
#depression is real