Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

KIBOD3

Senior Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
151
Reaction score
228
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2, sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha, naombeni ushauri wenu.

#depression is real
 
Wanaume tunazidi kupungua asee..
Sasa unataka ushahidi gani zaidi ya ulioukuta kwenye pochi ili ujue mkeo ni kahaba?

Kama unaishi Dar, pale Ambienci kuna wake za watu kibao wakitoka kazini wanapaki magari pembeni kisha wanaingia mzigoni kujiuza..stuka!
 
Usitumie tena kvant mkuu tumia hii! Kingine hicho kilaishi usikute ni ya mafuta ya mtume/nabii kawe maana anawekaga kwenye vichupa flani hivi
JamiiForums307267927.jpg
 
Ili kuondoa ukakasi uliza ujue.
Asante sana ila nahitaji kuwa sawa kidogo kiakili nikijua kama alinichit nitaua
si kweli, you'r gosping, Hakika sio kweli, wenye wake tukiona hivo tunafaham reaction zetu, sio hizo zako. Sio kwel nasema
Dunia inazunguka usiombe yakukute tema mate chini
 
Habari wanajamvi mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta conom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu
#depression is real


HII STORI UMEIKOPI HUMUHUMU, UKAILETA HUMUHUMU .
 
Back
Top Bottom