Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Leo usiku chukua panga au bisu kubwa weka karibu na kitanda, hakikisha analiona. Ikifika saa ya kulala mwambie mkeo kwa mahaba "Baby kuna kitu watu wanakisifia kuwa kitamu, hebu na mimi leo nionje"

Kesho mida kama hii utakuwa uko bize unatongoza demu mwingine wa kureplace hiyo dust bin.
 
Kuna ukweli mkuu..ila siyo mbaya akapiga evaluation kwanza ajue wapi tatizo.unaweza kuta jamaa hajali yeye tungi, halali ndani vituko kila kukicha,, hela ya matumizi anatoa anapojiskia..ataacha kweli kukutana na mesej kama hizo hawa wanawake wa kileo?
 

Ni kweli kiongozi. Ila kumbuka kwa mwanamke kumvulia chupi mwanaume wa nje ni ngumu sana. Either ni fuska mzoefu au ameichoka ndoa kweli kweli anaona isiwe tabu. Kwa namna yoyote akishavua chupi ni damaged goods. Hataacha kwa kuwa anafikiri suluhisho la matatizo ya ndoa yake ni kuchepuka.

Aidha wanawake wengi (ukiondoa mal.aya) anapoanza mahusiano na mwanaume wa nje ujue amemkubali kisaikolojia. Wanawake wanapenda tofauti na sisi wanaume. Sisi unaweza piga mashine mwanamke ambaye huna mapenzi naye lakini wanawake hutekwa kimawazo. Wengine hufikiri wanawakomoa waume zao, mwishowe wanaumia wao zaidi na kuumiza watoto na familia zao. Mwanamke mzinifu hafai.
 
duh ila at least umeona msg sasa kapime DNA watoto wako usawa huu unaweza kukuta una mtoto wa jirani ndani ukuzani wako
 
ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Duh wewe kweli kipofu mpaka hapo unaomba ushauri mjomba ngoja sms ya pili itakayosema t mbona tamu sana labda utamaindi bro.
 
Omba na ww uandikiw sms ya aina hyo af cm yako utoe password then utaona postive reaction
 
roho inauma balaa natafuta tu ushahidi wa kutosha alafu nimuoneshe habari

unafurahisha genge wewe, kwa hiyo huo ushahidi hautoshi!? endelea kukusanya huku mwenzio naye akiendelea kula vyake, tena ukute kasema hana mume!
 
smelter yako uwezo mdogo, kanikia lishaanza kupelekwa nje ya nchi kuchenjuliwa, wahi bandarini kontena zinasepa hizo, halafu fanya namna uongeze uwezo wa smelter
 
Huendaikawa mtumaji wa hiyo sms yuko huku, unatarji akujib nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…