Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Ukisikia mitihani ya Maisha ya ndoa ndo kama hiyoooo....yaani!!
 
Mkuu hii tabia ya Kupekuwa simu ya Mke haijawahi kuiacha Ndoa salama..

Mkuu Mkeo wanambandua tena atakuwa amebanduliwa siku hiyohiyo uliyosoma meseji pia anabanduliwa kila kukicha kwa kuwa jamaa haishi kuimiss.

Muku kanywe Bapa utulie kwanza halafu tafuta kamchepuko kako kazuri na wewe kakatafune. Ukiuliza hutajibiwa jibu la kukuridhisha , ukikaa kimya unaweza kuua mtu.

Kikubwa tambua Mko wanaume zaidi ya Mmoja wanaukunguta hiyo K
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Akili unazo ila unazijua mwenyewe
 
sim yangu haikuwa na credit nikamuomba ya kwake ili nimpigie mtu ile tu naanza kuingiza namba text naya ikaingia nikaona isiwe shida ngoja niisome aiseee...niligair hata kupiga sim
Pole ndugu, ila usijali kizuri kula na nduguyo
 
Mkuu usirudie tena kushika cm ya mama watoto wako,kama umeamua kuish nae na unampenda basi inatosha usichunguze mambo mengine ipo cku utakuja kufa kwa pressure,don't touch the dial mkuu.
 
Kwahiyo mkuu umekamata simu ya Shani ndiyo maana hajibu sms zangu? Mrudishie kwanza anijibu hayo mengine baadaye.
 
Pole sana...
Inasikitisha sana...

Ila kabla hujafanya maamuzi, jaribu kutafita ukweli wa hiyo " k " ni nini haswa...


Cc: mahondaw
 
Kama una uhakika usichelewe wala kupoteza muda mpeleke kwao kamwache huko na asijue kama unaenda kumuacha.Full stop.
Kumpeleka kwao itakuwa ni udhaifu mkubwa sana. Muhimu ni wafike muafaka, halafu jamaa atafutwe na mke kwa miadi ya kwenda kupewa tamu tena. Jamaa ampembue kinyelo chake mbele ya wife kama shahidi. Ndio itakuwa dawa
 
Pole sana kama ni kweli lakini kama unatudanganya na ya kukute hayo ulojitabilia
 
ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Msamehee Mkeo. Ni shetanj kapita. Pia jiangalie kama unamridhisha kwenye mapenzi ama huwa unamridhisha? Either way huyo sio wako tena. Get prepared to move on on your own.
 
Back
Top Bottom