Simba Asiyefugika
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 600
- 239
Acha kabisa kupekenyua simu ya mkeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda vijijini.lakini bado inanasa..........
Tunakuta sana tu. Na unajua kabisa mume kaenda au katoka kugonga lkn mwisho wa siku tunasamehe. Kwani cha ajabu nini hapo? Ataacha wangapi? Aangalie mazuri mengine ya mke wake. Kama ana mazuri mengi na bado anampenda mke wake kwanini amuache? Labda kama ni tabia yake isiyorekebishika.Wewe Dada ulishawahi kuta Meseji kwa sijui hawala yako au Mumeo ikisema Aisee **** Yako Tamu ukamuacha Salama .. Hawa wadada wa siku hiz sijui ni uzao wa Bloiler
Ikisifiwa s ndo safi au?pole mkuu inauma sana kukuta k ya mkeo inasifiwa kaa na mkeo chini muangalie wapi mnapokosea endelea kukaa kimya kila siku utakua unachapiwa na k ya mkeo kuzidi kusifiwa kwa mautamu
Hamna cha kushtuka hapo, ni kaimati tu ndio haishi utamu, kila ukiitafuna unaona sukari inazidini ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Nasubiri Mrejesho!!
Andaa zaidi ya laki mbili mkuu kwa kila mtotoHivi DNA ni sh ngap mkuu?