Fanya mpango wa kukamata hiyo njemba...kuna namna nyingi za kumnasa huyo jamaa.
1.Tumia mwanamke ajifanye kama kakosea kumpigia then amuulize yeye naishi wapi, n.k,
2. Save namba yake ya simu kwenye simu yako kisha icheki kama yupo WhatsApp; kama yupo waweza mtambua kama ameweka profile picture,
3. Cheki jina lake kwa Mpesa au vinginevyo kujua namba yake imesajiliwa kwa jina gani, kisha tumia akaunti ya fb ya mwanamke amuombe urafiki akikubali...ampeleleze yeye ninani n.k...
Hizo ni njia baadhi tu za kumnasa huyo mwizi, simple like hivo yaani ....