Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Yanazungumzika hayo mkuu, kaa nae chini muyajenge uenda wewe ndo mwenye matatizo ndomana anagawa hiyo K kwa raia wengine. Pole sana
 
Reactions: SDG
Tatizo huna machine ya kuchenjua makinikia ya mchanga wa dhahabu , sasa acha wasafirishe kwa wataalamu
 
Au mke wako anauza kahawa na mteja anaisifia hiyo kahawa kuwa haiishi utamu so akatumia K kama kifupi cha kahawa?
Hahahah hebu mwenye ku post hii thredi akujibu manake anamjua mkewe vizuri
 
Hahahah hebu mwenye ku post hii thredi akujibu manake anamjua mkewe vizuri
Hahahahhaaha, unajua hizi sms watu wanafupisha maneno kuokoa muda pengine. Natamani anijibu asije akamuhukumu kimakosa
 
Hawa wanawake wanatuumiza sana maana unajitahidi kua mme bora lakini bado anapeleka k kwingine inauma sanaaaa
 
Inamaanisha acha kukagua simu ya mpenzi wako, utakuja kufa kwa presha!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]namuulizia kachumbari kaweka nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…