incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Wakuu naandika hapa ila kichwani niko confused sana, Dadangu aliondoka hom zaidi ya miaka 20, akaenda huko Dar es salaam katika harakati zake na tulipoteana, Kwa baadae kabisa tukapata kuwasliana upya, kwa kipndi hiko na mim nilikuwa nishatoka mkoani nimejenga Jiji flan hapa Tanzania, ikabidi Dada Aje kunisalimia mimi kama mdogo wake, Ila kiufupi Baada ya Dada kuja amenisikitisha sana baada ya kumuona Japo aliondoka hom zaman sana nikiwa mdogo ila hata Juzi nilivyomuona ni mtu anaonekana kama huko aliko hamna maisha bora, anaonekana sura haina nuru na hali yake ya kiafya haiko sawa.
Mimi hapa nina familia watoto Ambo kwake ni Aunt zake, Mmoja miaka 9 na wa Pili miaka 3, Sasa haka ka miaka tatu, ni kakorofi sana lakini pia ni ka kike nikikapa jina la Mama yangu, hivyo sister anaonekana mtu ambae wameendana sana na haka katoto kwa mda mfupi, cha kushangaza leo Sister aliomba kutoka kidogo kunyoosha viungo, Mara nyingi akiwa ananyoosha viungo hapa Hom huwa anatoka na haka kadogo ila leo Bahati mbaya kalikuwa kamelala, na kalivyo amka kakachukua mkoba wake chumbani na kakatoka na mkoba kakaja nao sebureni ila katika kuchezea ule mkoba ndio nikakutana na hizo vidonge.
Sijajua ni Dawa za kutibu nini maana sister tangu amekuja hali yake koafya haiko vzuri anaonekana ila hajasema kama anaumwa. Ningependa wataalam mniambie ni dawa za aina gani hizi, Hivyo vidonge vina alama ya G/s.