Nimekuta jina limeseviwa "lv'' kwenye simu ya mke wangu.

Shukrani sana kwa kunisaidia
Shukrani sana kwa kunisaidia
 
ACHA TABIA YA KUANGALIA SIMU YA MKEO.... UNACHOKITAFUTA KUNA SIKU UTAKIPATA
Hivi huko kwenye ndoa mlishahalalisha kuchepuka!? huwa hainiingii akilini eti nisiguse simu ya wife kisa nitakutana na majanga!!

Mademu wenyewe nachungulia simu zao sembuse mke! Aisee sasa nikioa nitaua bure, ngoja nitulie tu kwanza...
 
Love
 
Mkuu ukiona hivyo ujue atakuwa anamaanisha Long Viecle. Na uwenda alipewa lift kutoka kurasini mpaka Ubungo na dereva wa hayo magari. Nafikiri atakuwa amesave # ya dereva ili amuulize kama gari yake huwa inakimbia sana?
 
Kwa lawaida ni LOVE
Ila usiopanick kabda hujachunguza zaidi... Si uchukue namba jaribu kupiga kama akipokea mwanaume then kazi ya ziada unayo
 
Low vision
 
linamaanisha love na hakupend tena
 
hahahaha cha msingi muhoji kisha angalia kama vile unataka kumtumia pesa kuwa ni ke ama me maana mie pia napenda sana kuandiaka inshort unawza kukuta ni kifupi cha jina la mtu tena wa ofisini
 
Atakua amemaanisha yule jamaa yake anayeishi Las Vegas [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Katika Karne hii ya utandawazi, mtu anaacha shughuli zake na kuanzisha uzi akiuliza maana ya herufi "lv" alozikuta katika simu ya mkewe namba imekuwa saved ivo!! Anyways usijali hio ni namba ya muuza Hand bags aina Luis Vuitton sasa mara nyingi wanawake huwa wanamsave "lv" kufupisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…