dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
- Thread starter
- #81
Shukrani sana kwa kunisaidiaSiku zote Mume ndiye msimamizi wa mkewe kwa kila kitu,kuanzia mavazi, chakula, huduma zinginezo na hata kiroho na kiimani ,ukiona umeshindwa kumsimamia mkeo na bado ukaendelea kukaa nae basi jua unatenda dhambi kubwa sana na kwetu sisi waislamu zimewekwa Talaka ili sasa wale wanawake waliopotoka na kuota mapembe mbele ya waume zao Waweze kuadhibiwa.