Nimekuta mawe mawili kwenye kimkoba cha mke wangu

Hio ni kinga dhidi ya nguvu hasi za giza, hasa kwenye mizunguuko yake, nahisi atakua ni mwenyeji wa mikoa ya mwambao hasa tanga.
 
Hahahaaa. Lol

Hadi nimecheka aisee hivyo Mkuu umeamua kuwaza nje ya mstari. 🤣🤣
Tuliambiwa tuishi nao kwa akili mkuu, ningekua mimi ningechukua marker pen nyekundu, halafu niyaandie herufi feki za kiarabu, kisha nayarudisha mkobani, siku ya pili naitwa polisi kusikiliza kesi ya wife kampiga mganga wake nondo ya kichwa... 🤣🤣🤣
 
Saa ingine Mkuu waeza kuta ameyaona tu akayapenda akaamua ayaweke mkobani na si kingine. 😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…