Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mkuu, pole sana.
Usifanye uamuzi wowote kuanzia hivi sasa juu ya hatma yenu, kaa chini utafakari kisha muweke chini mkeo mzungumze.
Muulize kwa utaratibu bila hasira ni nini kilichopelekea yeye kufanya hivyo?
Akikujibu utapima mwenyewe, akionesha kujutia na kukuhitaji msamehe na kumkanya, otherwise amua mwenyewe.