Hii kauli rahisi sana kusema mkiwa mnaishi kisela
Ikishafikia hatua mna watoto 2+ plus, wazazi wa pande mbili washakuwa ndugu
Umezoea jioni watoto na wife kukupokea then haraka haraka uje usaliti then haraka haraka break up inaumiza hakuna mfano
Unawaza watoto wanaenda shule na bashasha kwasababu ya uwepo wa good parenting
Askimbie mtu inauma kuona watoto hawana furaha
Tulio kwenye ndoa tunajua haya
Miaka ya uharibifu kwenye ndoa ni 20s to 55
Nakuombea kijana Mungu akutie nguvu
Sikwambii umwache ila mwanamke mwaminifu anajulikana soma meseji neno kwa neno ujue km ameshawishiwa au yeye ndio ameamua kutoka kwenye mahusiano yenu