Mimi pia nilikuta charting kwenye simu ya mkewangu nilichofanya niliongea na jamaa akaniambia mkewangu alimwambia hajaolewa hivyo alisikitika sana na kuniomba msamaha na kilichonipa moyo ni kuwa ndo alikuwa anaanza kutongoza nimemuonya wife na nachunguza mienendo yake
Mi nilimfata jamaa alikua kinyozi lakini ana deal zingine.
Nikaenda kanyoa Nywele fresh kumaliza nikamdaka we flani ndiyo.
Twende huku,nikampeleka uchochoroni dogo kapiga magoti analia.
Bahati nzuri shetani wangu alikua yuko off siku hiyo.
Nilimpeleka mahali tukakaa kasimulia yote.
Nikamwambia wife njoo,niko mahali napiga mdudu kaja mbio.
Anakuta mchepuko wake kabananishwa,hapo kavimba vizuri tu.
Nikamwambia Sasa huna haja ya kuchepuka huyu mke namuacha hapa na wewe mkaleane.
Na wewe nimgonge akiwa kwako ndio utatia akili.
Na ole wako akose huduma.
Aah badae mi ikawa Kitonga tu nakula mzigo mda wowote
Hela matumizi anapewa na huyo bwa mdogo.
Wakileta ujinga wanakula makofi wote.
Iliisha vizuri tu,na mke yupo mpk kesho,siku hizi ananiita Baba kabisa.