Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

Iko hivi,kama siku ya kwanza ulimkuta na handaki la urusi, basi waliolichimba ujue bado wapo,na wakaguzi siku zote watakuwepo. Kwenye hii sanaa mnayoiita mapenzi na ndoa, kwanza hicho unachokiita kizuri,kwanza kubaliana na hali ya kula na wenzako. Ukiweza,sawa. Ukishindwa, utajuta
 
Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje?

Mbarikiwe!
Chukua maamuzi magumu kama ifuatavyo. Chukua simu yake muonyeshe hayo uliyoyaona, then mwambie - nakuruhusu uende kwa huyo, utakapojisikia kurudi nipigie simu. Akianza kufunga funga vyake msaidie kwa kumuonyesha alichosahau nk. Muonyeshe kuwa unamruhusu kwa dhati kabisa (usoni). Nipe reaction yake halafu nitakuambia cha kufanya baada ya hapo.
 
Uyo sio mke ulioa joka lakibisa pambania malengo tayo uyo ishinae kinafiki moka mtoto atakapo kua ila na wewe tafuta mwanamke mwingine anaejielewa full stop
unafikiri ni rahisi kupata mwingine anayejielewa?
 
Pole sana
Labda anatafuta pa kutolea stress za kuuguza mtoto au pengine mapenzi kwako yameisha
Mwambie ukweli kuwa umejua anachepuka,reaction yake itakufanya ujue the next step
 
Pakia mkongo huyo binadamu hakikisha umesugua mpaka udenda umemtoka ............hapo atajifunza kitu........kira akitaka kumwaga unamtajia makosa yake ..........uku unapereka moto balaaaa
 
Back
Top Bottom