Nimekuta mkia wa nguruwe umefungashwa na kinda la ndege, kazi yake nini?

Nimekuta mkia wa nguruwe umefungashwa na kinda la ndege, kazi yake nini?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,956
Reaction score
47,046
Na vitu vya aina hii huwa nakutana navyo kwenye kila site mpya ya ujenzi ninayoenda, huwa vinakazi gani hivi vidude?
Nimeambatanisha picha na video.
20200114_100411.jpg

 
Litakuwa zindiko la watani zangu Simba ili washinde mechi yao jana. Liliwekwa kabla ya mechi labda, baada ya ile kadi ya bima kuondolewa uwanjani. ' may be'
 
Back
Top Bottom