Nimekuta mkia wa nguruwe umefungashwa na kinda la ndege, kazi yake nini?

Nimekuta mkia wa nguruwe umefungashwa na kinda la ndege, kazi yake nini?

hizo ni Tamaduni ndugu, kuna jamaa tupo nae hapa job yeye kaambiwa na mtaalam wake apeleke pum*u za punda, hahah sa sijui zina kazi gani mkuu ya ngoswe we muachie mwenyewe fuata lililokupeleka
 
Believe me Mr ,huyu jamaa awababaishe watu wa jf wasio na ilimu ya ulozi ila sio Mimi,huyu mweupe mno habari zake za kuunga kwa super glue

Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu:
Wacha hii mambo, achana na huyo kabisa, anaweza kukugeuza wewe na kuwa kiumbe cha ajabu, halafu ushindwe la kufanya na ndugu zako wakapata tabu sana kukuhangaikia.
 
Kwamba unakutana navyo kwenye ‘kila’ site mpya...!! Hapo utakuwa umekoleza sana.
 
Back
Top Bottom