FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Jaribu kumtag Mshana Jr.., Labda kazi yake hiyo!!
Mshana JrJaribu kumtag Mshana Jr.., Labda kazi yake hiyo!!
Umejuaje kuwa huu ni mkia wa nguruwe?Na vitu vya aina hii huwa nakutana navyo kwenye kila site mpya ya ujenzi ninayoenda, huwa vinakazi gani hivi vidude?
Nimeambatanisha picha na video.
View attachment 1322759
Hawa mafundi wa site wameniambia walishawahi kufaga nguruwe na wameutambua kwa jinsi unavyoonekana.., nimeamini analysis yaoUmejuaje kuwa huu ni mkia wa nguruwe?
Ndio tunakipiga moto now as i speak
Jaribu kumtag Mshana Jr.., Labda kazi yake hiyo!!
Ha Ha Haaaaa!
Mkuu: Mbona huyu Mshana huwa anaonekana sana huku kwetu kwenye pori la Ushirombo.