Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

Usifukue makaburi alichowaza mumeo kila mwanaume huwaza hivo
 
Alijihisi ana VVU!
Akahangaika kupima huku na huko,yupo salama.
 
Kuna jamaa alileta uzi humu baada ya kuona mtoto wake amefanana na workmate wa mke wake ambao happy awalu walikuwa wanafanya kqzi pamoja na Sasa wamehamia ofisi nyingine akashauriwa apime dna kwa Siri. Au Kama ulishawahi kuchepuka mumeo alishtukia akaamua apime dna watoto
 
Ulishawahi kumsaliti? Mbona kama ana wasiwasi kwamba mmoja au baadhi ya watoto sio damu yske?
 
Iyo ni DNA kawaida tulia skuiz tunawapima watoto bila kuwashirikisha hili tulilijadili kwenye kikao chetu cha wanaume kilichopita na tukakubalia hivyo usjali kwakua ushajua we kausha piga kimya hata mimi nishampima mwanangu teali na majibu nimeyapata kimya kimya na babymama hajui nahata akija kujua minishamaliza kazi yangu bas
 
Sio huku tu,kasema katuma hadi kwenye magroup ya wasap ya ndoa na wanawake🀣🀣Aiseeh ndomana mie sinaga hizo ujinga za magrupπŸ™sijui vikoba,sijui wanawake na ndoa,sijui wanawake wa shokaπŸ€”full kujazana upupuπŸ€”
Hivi issue kama hii ilikuwa ya kuleta huku. Kwa mfano kama na mhusika mme yuko humu we mama unafikiri italeta picha ipi. Busara itangulie kila wakati.
 
Naona unapambana ndoa ivunjike kwa yaliyopita, halaf utarudi kuomba ushauri ndoa yako isivunjike..

Mind your own business..

chatting unatafuta nini hasa na ili iweje na zitakusaidia nini kwenye kuimarisha ndoa yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…