Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

The fact amesema "alikuwa na wasiwasi maana hajawahi kucheat" hii msg inaashiria kwamba jamaa alihisi ana ugonjwa wa zinaa na alipoenda kucheki akakuta fresh ndio maana daktari akamwambia asiwe na wasiwasi.

Hapo umesalimika sasa endelea kumfukunyua saitani. Halafu unaonekana janjajanja sana wewe kushinda mumeo maana jamaa gani anasema hajawahi kucheat.
 
Alicheki DNA
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nawe kuwa na amani dada mumeo alienda kupima DNA.
Sidhani, hiyo sentensi kuwa hajawahi kucheat hata siku moja inahusianaje na Kipimo cha DNA? Labda ugonjwa aliouhisi kuwa umesababishwa na zinaa, ila swali lingine linakuja, inakuaje amshirikishe baba yake?
 
 
Unaishi na MAFIA jichanganye
 
Kweli we akili hauna ,, sijui mumeo alikutoa wapi ..Sasa hapo huelewi Nini hivi utaweza zaa watoto wenye akili kweli?
 
Kama hili simulizi lina ukweli,
Basi huyu mwamba ni LEGEND, hajakubali mzigo upite bandarini bila kukaguliwa.....
Kaamua kufukuza mwizi kimya kimya yanii hajakubali auziwe mbuzi ndani ya gunia....
 
Mimi naona hapo mume wako atakua alikua na tatizo la mbegu atakua aliambiwa labda hawezi kuzalisha lakini Cha kushangaa anaona wewe umezaa ndiyo hapo akawa na wasiwasi imekuaje ndiyo kuamua kwenda kujipima upya na kupika DNA za watoto kujua ukweli na inaonekana kaonekana Hana shida na watoto ni wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…