Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake


Mwenzio kapenda bff hujui anapewa nini na bwana shemeji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana dada, mm nimekupa ushauri mzuri tu kuwa sometimes wanaume huwa tunapitiwa(shetani tu) but mapenzi ya kweli hubaki pale pale kwa yule tumpendaye

Una kitu nitakutafuta nikufariji
 
Yes ushauri mzuri
 
Mwenzio kapenda bff hujui anapewa nini na bwana shemeji [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama ananipa yote....huu ufala sifanyi bff....kwanza ni kama anafosi huyu hapendwi
 
Kulikuwa hakuna haja ya kufanya hivyo hiyo sio nzuri next time unaweza fanya more than that ikawa mbaya

humu huwezi pata majibu sahihi kwa hiki ulichofanya,ila kuwa makini mpendwa hali hii itakufanya uje upige tukio la majuto

Kuwa makini.
 
Kwa nini usingevunja simu au umvizie usiku mvute nanii yake.
 
Wewe ni mchaga nn?
 
Hasira hasara km ni mimi nakufugia mbwa wa kizungu na mapamga shaa au jeteriii...
 

Afya ya akili...
 
Huyo ana hasira za mkizi hawezi kujicontrol, tumetofautiana mioyo
Hizi hasira nyingine bff sio za kuendekeza
Hata kama mpenzi wako Ana pesa kiasi gani usimuharibie vitu vyake vya thamani
Tafuta namna nyingine ya kutatua hiyo shida....au kavunje vitu vyako basi kama hasira imezidi....Kuna vitu sio vya kuendekeza bff
 

Nivunje vitu vyangu ili iweje?? Navunja vyake/vyetu ndio hasira zinapoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Bora anayevunja vitu kuliko anayeenda kulipiza kwa kugawa papa nje!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…