Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Subiri kibanoo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona hivyo, wewe sio mtamu, yaani una matatizo labda kiburi, hasira, dharau, uchafu, mgomvi, kitandani una masharti kama polisi, yaani hunogi, mdomo kama kasuku, kiherehere, roho juu juu, mtu wa pressure kila wakati, yaani unamletea ugonjwa wa moyo, yaani haunogi in all sectors za mapenzi, sijamaliza labda una wivu sanaaaaa, anaamua kutafuta wanawake wengine
 
Mi nakuacha on the spot. Maana cku ukikosa cha kuchoma utanichoma na maji ya Moto. Hufai kuwa mke wa mtu.
 
2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?



Hata angekuwa nacho bado hekima inahitajika sana ktk kumu-approach Mwanaume na kuzungumza nae vinginevyo victim atakuwa mwanamke [emoji108]
 
Ilo jina unalo tumia nikama halisadifu ulivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Usikasirike bali jifunze kwetu... Ukweli unapewa umekuuma ila jifunze kubadilika.. ni maisha haya.. tukuchekee tukushangilie uendelee kutenda majanga haya huko mbeleni.. naaaah kabisaaa

Hivi ulinijibu maswali yangu?

Your guy mmefikia wapi?
 
Usikasirike bali jifunze kwetu... Ukweli unapewa umekuuma ila jifunze kubadilika.. ni maisha haya.. tukuchekee tukushangilie uendelee kutenda majanga haya huko mbeleni.. naaaah kabisaaa

Hivi ulinijibu maswali yangu?

Your guy mmefikia wapi?

Bado hataki kunisamehe na hataki kurudi nyumbani
Sijui Ndio amepatia hapo sababu [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…