Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

So nawewe unawasifiaga wanaume DM au mnafanya na bwanaako kwa lipi?
 
1. Ur username doesn’t deserve you.. ibadili ASAP.

Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
 

Ila kweli dear
 
Sasa wanawake wenzio umewatukana wana kosa gani? Huyo "my guy" ndo tatizo lako

Alivyorudi ikawaje?

Alivorudi nimemwambia ukweli, kakasirika sijawahi kumuona akiwa na hasira vile hajasema chochote kachukua simu yake kaondoka, Jana sijalala nahangaika tu kumpigia na kupigia rafiki zake yani Sijui kaenda wapi jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mzee mwenzangu vimbaumbau tumekukosea nini lakini? πŸ˜…
Usinambie kuwa na wewe ni kimbaumbau wallahi 😳. Miaka na miaka huwa natamani kuzama PM kwako ili kuona kama yaliyomo yamo. Kama ni kimbaumbau basi pengine ndo maana huwa napata zero energy. Ila nitajihakikishia siku moja 😁😁😁

➑️➑️➑️ On a serious note ni matani tu mzee mwenzangu japo ni kweli vimbaumbau mna visirani sana. Bonge kukasirika mpaka kuchoma nguo sidhani πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸ–
 
Upuuzi mtupu!Sasa nguo zilikukosea Nini? nyie ndio wanawake mnaorudisha maendeleo nyuma...
Pili,unatukana wanawake wenzio Kwa Nini?hujui walitongozwa kama wewe?tena waliambiwa Yuko single...
Grow up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…