Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Hilo ni janga si katika mahusiano tu hata ndoani!

Mambo ya kupekua simu ya mtu ni kujitafutia stress za rejareja tu mamy better not!
 
wewe una mapepo kisirani utakufa
 
Jinsia yako kwanza.
My guy is questionable.
 
1. Ur username doesnโ€™t deserve you.. ibadili ASAP.

Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Eti fearless na ametia moto nguo zake in his absence. She is a coward.
 
1. Ur username doesnโ€™t deserve you.. ibadili ASAP.

Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Whatever happens sisupport mtu kupigwa.
 
Mariam akamtafuta mama mtoto wangu banah๐Ÿ˜€
Dah.....akafoka, akakuta mwenzake matured akamtuliza. Baadae anataka reconciliation naye.....dada nakuomba niachie Frogy nampenda sana. Ameshabadili sana wanaume now anataka kufa na mimi. Hawezi kuniacha.
Kuona yote yamegonga mwamba....akaanza kunipondea.
Eti alikua ananichuna tu, mara kamtu kenyewe hivi, mara vile. Manywele kifuani kama sokwe......khaaa hivi ni vitu vya kumsema mwanaume?๐Ÿ˜€
Anajisahau yeye ana kikomwe cha kichaga na hairline iliyo utosini na mguu wa kirangi..........
Mwisho kabisa akataka umoja wanikomeshe. My babe mama yuko kimya siku zote hasemi kitu. Baadae akaniambia yooooooote yanayoendelea huku analia........Nimesamehewa lakini. Mapenzi ya kweli yapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we ukoje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we ukoje?
Dc amesema as long as he provides utulieee hakuna kukwesheni wala neneeee!๐Ÿค !

Naona huu uzi umekupenya kavukavuuuuuuuu mamaa la mama๐Ÿค ๐Ÿคญ!

Asalaammm Aleykum!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Emu nitag kwanza
Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaa๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿค !
 
Dc amesema as long as he provides utulieee hakuna kukwesheni wala neneeee!๐Ÿค !

Naona huu uzi umekupenya kavukavuuuuuuuu mamaa la mama๐Ÿค ๐Ÿคญ!

Asalaammm Aleykum!!!
Me muda wa kukwesheni ninao mwingi wa kutosha na balaa langu analijua vizuri ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sema wezi wa mabwana za watu km wamepanic hivi au nimeona vibaya??
Me mkomao wowote ukijileta kwa Kantri nachafua hali ya hewa, Sitaki mazoea ya kifaller na utraaamu wangu.
 
Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaa๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿค !
Wanitag kwa Kweli nikajionee mie ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ