Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khakhakhaaaa!Wewe lazima utakuwa kimbaumbau....
wewe una mapepo kisirani utakufaNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
Jinsia yako kwanza.Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
Eti fearless na ametia moto nguo zake in his absence. She is a coward.1. Ur username doesn’t deserve you.. ibadili ASAP.
Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa 😂😂😂
Whatever happens sisupport mtu kupigwa.1. Ur username doesn’t deserve you.. ibadili ASAP.
Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa 😂😂😂
Vimbaumbau ni tatizo Boss Lady. Pisi ya uhakika kama wewe hapo kweli unaweza kuchoma nguo za bae wako kisa tu umeona text messages tata?Khakhakhaaaa!
Mariam akamtafuta mama mtoto wangu banah😀Wanawake wote wanaotafuta wanawake wenzao kisa wameona wako na bwana zao ni hamnazo.
Mimi siwezi hiyo biashara aisee
Natakiwa nideal na mwanaume.. ukute mwanaume alishaniacha 😃😃 nipate aibu ya kujitia kimbelembele kugombana na watu. Lol
I don't know how to tell you this in the kindest way possible. As long as he's paying the bills, coming home without perfume or lipstick on him and giving what you need in bed, don't worry about anything else he's doing.
He has choosen you wala usihofu.
Nb: sipo hivyo kwa wangu
Hv hii ID si nimeiona pahali ikizungumzia maswala ya kuchakata mademu
Mbona huku tena inasemea guy wake
Binafsi siweziii!Vimbaumbau ni tatizo Boss Lady. Pisi ya uhakika kama wewe hapo kweli unaweza kuchoma nguo za bae wako kisa tu umeona text messages tata?
Halooooo!
Ndo maana nakupendaga mimi jamani 😁😁😁🖐Binafsi siweziii!
Halafu hapo wa kudeal nae ni mwanaume si hao wanawake!!
Dc amesema as long as he provides utulieee hakuna kukwesheni wala neneeee!🤠![emoji23][emoji23][emoji23] we ukoje?
Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaa📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌🤠![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Emu nitag kwanza
Mbona umemkomalia sana🤣🤣🤣2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?
Me muda wa kukwesheni ninao mwingi wa kutosha na balaa langu analijua vizuri 🤣🤣🤣🤣Dc amesema as long as he provides utulieee hakuna kukwesheni wala neneeee!🤠!
Naona huu uzi umekupenya kavukavuuuuuuuu mamaa la mama🤠🤭!
Asalaammm Aleykum!!!
Wanitag kwa Kweli nikajionee mie 🤣🤣🤣Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaa📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌🤠!