Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Me muda wa kukwesheni ninao mwingi wa kutosha na balaa langu analijua vizuri 🤣🤣🤣🤣
Sema wezi wa mabwana za watu km wamepanic hivi au nimeona vibaya??
Me mkomao wowote ukijileta kwa Kantri nachafua hali ya hewa, Sitaki mazoea ya kifaller na utraaamu wangu.
Weee my wako umefunga nae ndowaa?? usintaniee weee mi kantri nikimuelewa namfata nampeaaa tyuuuu! Si tulipewa bureee weeh!
 
Kabla hajarudi,,tuwasiliane uje kwangu Mamii wala si dhambi!!
 
Mariam akamtafuta mama mtoto wangu banah😀
Dah.....akafoka, akakuta mwenzake matured akamtuliza. Baadae anataka reconciliation naye.....dada nakuomba niachie Frogy nampenda sana. Ameshabadili sana wanaume now anataka kufa na mimi. Hawezi kuniacha.
Kuona yote yamegonga mwamba....akaanza kunipondea.
Eti alikua ananichuna tu, mara kamtu kenyewe hivi, mara vile. Manywele kifuani kama sokwe......khaaa hivi ni vitu vya kumsema mwanaume?😀
Anajisahau yeye ana kikomwe cha kichaga na hairline iliyo utosini na mguu wa kirangi..........
Mwisho kabisa akataka umoja wanikomeshe. My babe mama yuko kimya siku zote hasemi kitu. Baadae akaniambia yooooooote yanayoendelea huku analia........Nimesamehewa lakini. Mapenzi ya kweli yapo.
Yaani sijaelewa chochote
 
Haha uduguuu msukuma hanaga tabu na mtuuu mbona yuko peace nakila mtuuu!

Wee udugu hutaki nichati mi sms na msukuma my guy wake aandamane🤠???
Me napenda akuchukue jumla kabisa mshinde pm mnabebishana, mkija huku mtukere na emoji za mahaba tuchafukwe na sie tuanze kujipitisha pm tupate chochote kitu 😂😂😂😂
Halafu tuambulie kuambiwa “Sikutaki umekomaa” 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom