Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro mbona unasifia sana pisi kuliko uzi 😂😂😂Vimbaumbau ni tatizo Boss Lady. Pisi ya uhakika kama wewe hapo kweli unaweza kuchoma nguo za bae wako kisa tu umeona text messages tata?
Halooooo!
Ukipapata namie niite uduguuu jf Habari bure!!Wanitag kwa Kweli nikajionee mie 🤣🤣🤣
Tunadeal nao wote kukomesha UTI sugu 😂😂😂Binafsi siweziii!
Halafu hapo wa kudeal nae ni mwanaume si hao wanawake!!
Hatareeeee 🤣🤣🤣🤣Ukipapata namie niite uduguuu jf Habari bure!!
Yutiai wanaitoa wapi tena uduguuu nakugawa ujueee! 🤠Tunadeal nao wote kukomesha UTI sugu 😂😂😂
Weee sema kweli 🤠! Nakupenda piahhh mzeiya wa yutongs!🏃🏃🤭🤣!Ndo maana nakupendaga mimi jamani 😁😁😁🖐
Hapaaanaa nimekataa 😂😂😂Ni upendo wa agape uduguuu! Khakhakhaaaa
Si huko wanakodanga kwingine 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Yutiai wanaitoa wapi tena uduguuu nakugawa ujueee! 🤠
Weee my wako umefunga nae ndowaa?? usintaniee weee mi kantri nikimuelewa namfata nampeaaa tyuuuu! Si tulipewa bureee weeh!Me muda wa kukwesheni ninao mwingi wa kutosha na balaa langu analijua vizuri 🤣🤣🤣🤣
Sema wezi wa mabwana za watu km wamepanic hivi au nimeona vibaya??
Me mkomao wowote ukijileta kwa Kantri nachafua hali ya hewa, Sitaki mazoea ya kifaller na utraaamu wangu.
Muache mwenzio na my guy wao🤣🤣😂😂amenishangaza tu jamani
Eti my guy
Weeeh
🤣🤣🤣🤣 Thubutuuuu!! Ntakuroga me mkinga ooh!! Nakuchukua jini nakuweka dukani uniitie watejaWeee my wako umefunga nae ndowaa?? usintaniee weee mi kantri nikimuelewa namfata nampeaaa tyuuuu! Si tulipewa bureee weeh!
Haha uduguuu msukuma hanaga tabu na mtuuu mbona yuko peace nakila mtuuu!Hapaaanaa nimekataa 😂😂😂
Tatizo anakusifia sana km ana kitu moyoni kinamtesa
Weee uduguu huko kuniroga kuweza!!🤣🤣🤣🤣 Thubutuuuu!! Ntakuroga me mkinga ooh!! Nakuchukua jini nakuweka dukani uniitie wateja
Yaani sijaelewa chochoteMariam akamtafuta mama mtoto wangu banah😀
Dah.....akafoka, akakuta mwenzake matured akamtuliza. Baadae anataka reconciliation naye.....dada nakuomba niachie Frogy nampenda sana. Ameshabadili sana wanaume now anataka kufa na mimi. Hawezi kuniacha.
Kuona yote yamegonga mwamba....akaanza kunipondea.
Eti alikua ananichuna tu, mara kamtu kenyewe hivi, mara vile. Manywele kifuani kama sokwe......khaaa hivi ni vitu vya kumsema mwanaume?😀
Anajisahau yeye ana kikomwe cha kichaga na hairline iliyo utosini na mguu wa kirangi..........
Mwisho kabisa akataka umoja wanikomeshe. My babe mama yuko kimya siku zote hasemi kitu. Baadae akaniambia yooooooote yanayoendelea huku analia........Nimesamehewa lakini. Mapenzi ya kweli yapo.
Me napenda akuchukue jumla kabisa mshinde pm mnabebishana, mkija huku mtukere na emoji za mahaba tuchafukwe na sie tuanze kujipitisha pm tupate chochote kitu 😂😂😂😂Haha uduguuu msukuma hanaga tabu na mtuuu mbona yuko peace nakila mtuuu!
Wee udugu hutaki nichati mi sms na msukuma my guy wake aandamane🤠???
Ata sielewi sijalala Jana
Alivorudi Jana nilivomwambia kakasirika sana sijawahi kumuona vile, kachukua simu yake na akaondoka usiku ule ule hajarudi jamani naumia [emoji24][emoji24] na hapokei simu jamani