Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

🤣🤣🤣🤣

Si huko wanakodanga kwingine 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Sa si my guy wako anaruhusu hilo hapo utulize mshono eti hahaha! Au ujinaweee uachia wapeane yutiai vizure likiwakuta unabaki kucheka kwa sarraaaauuuuuuuuuuuu🤠🤠🤠🤠🤭🤭!
 
Pole sa
Ata sielewi sijalala Jana
Alivorudi Jana nilivomwambia kakasirika sana sijawahi kumuona vile, kachukua simu yake na akaondoka usiku ule ule hajarudi jamani naumia [emoji24][emoji24] na hapokei simu jamani

Lingine, tuambie ulijiamini nini hadi kufanya yote hayo calls na ya nguo? Amekuchimbia? Mna nini umejiona wewe ndie yeye kwake?

Acha kumtafuta.. kuwa strong.. unazidi kumpa hasira kwa sasa. Tulia fanya Yako..
 
Hakuna mwanamke duniani anaweza fanya usengelema kama huo alafu nikaendelea nae kama ndio mimi leo ndio ingekuwa mwisho, kwanza hakuna utaratibu wa mwanamke Kushika simu yangu….

KWA WANAUME
Inakuaje unampa mwanamke access ya simu yako ? Hili jambo limeshawakosti bigtime jamaazangu kama wawili na nliwakataza upuuzi huo. Kuna jamaangu mmoja ukimpigia simu saa moja jion anakuwa asharud home na ujue simu kashaikabidhisha kwa mwanamke yan hapo kupokelewa mpaka greenlight itoke kwa mwanamke, hata kama unataka mwongee mipango yenu ambayo mwanamke hatakiwi kujua mpaka umblock on his way home, stupid kabisa mijamaa mingine…
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Ni mumeo wa ndoa, au mnafanya uasherati tu?
 
Sa si my guy wako anaruhusu hilo hapo utulize mshono eti hahaha! Au ujinaweee uachia wapeane yutiai vizure likiwakuta unabaki kucheka kwa sarraaaauuuuuuuuuuuu🤠🤠🤠🤠🤭🤭!
🤣🤣🤣🤣 yutiai bobevu inaswampaaa muno piemuni
My guy anaogopa yutiai hataki hata kuisogelea
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Kuwapigia simu hao wanawake ni makosa, wewe deal na mtu wako.

Kuchoma nguo ni ujinga, wewe semezana na mtu wako ama ajirudi muyajenge, ama muachane.

Usichoelewa nini hapo?
 
Me napenda akuchukue jumla kabisa mshinde pm mnabebishana, mkija huku mtukere na emoji za mahaba tuchafukwe na sie tuanze kujipitisha pm tupate chochote kitu 😂😂😂😂
Halafu tuambulie kuambiwa “Sikutaki umekomaa” 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Mie trena nilivo na makusudi taarifa zangu mbona unazoo🤭!
Weee nakomaaje na mi bado mdogo murembo kabesa uduguuu usinkuze weeh! Na ntamsumbua mpaka aelewe somo!

Na akiingia 18 zangu ntabebishana nae makusudi live ilimradi nikukere tuuu wee Nani hataki kubebishwa weeeehhhh!🤠!
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Vipi na wewe yakikukuta? Maana na wewe unatongozwa Kila siku
 
Mie trena nilivo na makusudi taarifa zangu mbona unazoo🤭!
Weee nakomaaje na mi bado mdogo murembo kabesa uduguuu usinkuze weeh! Na ntamsumbua mpaka aelewe somo!

Na akiingia 18 zangu ntabebishana nae makusudi live ilimradi nikukere tuuu wee Nani hataki kubebishwa weeeehhhh!🤠!
Kumbe ulikuwa unamuelewa kitambo khaaaa!!! Kaaka Shimba ya Buyenze umesikia lakini anachosema pisi kali??
Anasema uingie kwenye 18 zake ubebishwe 😜
Fanya jambo bro umeokota dodo chini ya mnazi ujue 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
🤠🤠🤠🤠🤠!
Namuelewa kitamboooo sema yee hanielewii na umbaumbau wangu huu nivokomaaa eti anipeleke wapi mi 🙄!

Ushunguuuuuuuuuuu😌!
 
Ushindwe na kidumu chako cha petroli. Boss Lady ni mtani wangu wa siku nyingi. Sema tu wametufungia kule kwenye uzi wetu wa Selfika siku hizi tumekuwa kama wakimbizi. Waifu wa mjeda huyo labda kama hunitakii mema kakako miye 🖐😁
 
🤠🤠🤠🤠🤠!
Namuelewa kitamboooo sema yee hanielewii na umbaumbau wangu huu nivokomaaa eti anipeleke wapi mi 🙄!

Ushunguuuuuuuuuuu😌!
Bosi Ledi.

Umeanza lini kuwa kakimbaumbau jamani? Sema tu uko humble ila ungekuwa mapepe kwa uzuri huo mbona JF isingekalika? Nina folder lako lina picha zako zote ulizowahi kuweka selfika. Niwache!
 
🤣🤣🤣🤣 yutiai bobevu inaswampaaa muno piemuni
My guy anaogopa yutiai hataki hata kuisogelea
Na mi Nataka anibebishe uduguuu sa niende wapi kila sehemu napigwa chambavu🙄🙄🙄!
Hebu nitafutie mganga nisafishe nyotraa kwani sio kwa gundu hili mweh!!!
 
Back
Top Bottom