Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Unarogwa tyuu!! 🤣🤣🤣Weee uduguu huko kuniroga kuweza!!
Mungu wangu anaishii ohoooo usiseme sijakwambia😂!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unarogwa tyuu!! 🤣🤣🤣Weee uduguu huko kuniroga kuweza!!
Mungu wangu anaishii ohoooo usiseme sijakwambia😂!
Sa si my guy wako anaruhusu hilo hapo utulize mshono eti hahaha! Au ujinaweee uachia wapeane yutiai vizure likiwakuta unabaki kucheka kwa sarraaaauuuuuuuuuuuu🤠🤠🤠🤠🤭🤭!🤣🤣🤣🤣
Si huko wanakodanga kwingine 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Ata sielewi sijalala Jana
Alivorudi Jana nilivomwambia kakasirika sana sijawahi kumuona vile, kachukua simu yake na akaondoka usiku ule ule hajarudi jamani naumia [emoji24][emoji24] na hapokei simu jamani
Mi sirogeki uduguuu hakii utajiroga mwenyewe!Unarogwa tyuu!! 🤣🤣🤣
Namie nilitaka kusema ivyo1. Ur username doesn’t deserve you ibadili ASAP.
Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa 😂😂😂
Ha ha ha haya bro Shimba ya Buyenze kula chuma hiko, kumbe naye alikuwa anakusubiri useme 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Weee sema kweli 🤠! Nakupenda piahhh mzeiya wa yutongs!🏃🏃🤭🤣!
Ni mumeo wa ndoa, au mnafanya uasherati tu?Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
🤣🤣🤣🤣 yutiai bobevu inaswampaaa muno piemuniSa si my guy wako anaruhusu hilo hapo utulize mshono eti hahaha! Au ujinaweee uachia wapeane yutiai vizure likiwakuta unabaki kucheka kwa sarraaaauuuuuuuuuuuu🤠🤠🤠🤠🤭🤭!
Jichanganye uone 😂😂😂Mi sirogeki uduguuu hakii utajiroga mwenyewe!
Kuwapigia simu hao wanawake ni makosa, wewe deal na mtu wako.Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Mie trena nilivo na makusudi taarifa zangu mbona unazoo🤭!Me napenda akuchukue jumla kabisa mshinde pm mnabebishana, mkija huku mtukere na emoji za mahaba tuchafukwe na sie tuanze kujipitisha pm tupate chochote kitu 😂😂😂😂
Halafu tuambulie kuambiwa “Sikutaki umekomaa” 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Vipi na wewe yakikukuta? Maana na wewe unatongozwa Kila sikuNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Kumbe ulikuwa unamuelewa kitambo khaaaa!!! Kaaka Shimba ya Buyenze umesikia lakini anachosema pisi kali??Mie trena nilivo na makusudi taarifa zangu mbona unazoo🤭!
Weee nakomaaje na mi bado mdogo murembo kabesa uduguuu usinkuze weeh! Na ntamsumbua mpaka aelewe somo!
Na akiingia 18 zangu ntabebishana nae makusudi live ilimradi nikukere tuuu wee Nani hataki kubebishwa weeeehhhh!🤠!
Sikubali lazima niionje tamu yakeee usintantieee! Au hata nikibebishanae tu mi nafsi yangu kuntruuuuu😁!Jichanganye uone 😂😂😂
🤠🤠🤠🤠🤠!Kumbe ulikuwa unamuelewa kitambo khaaaa!!! Kaaka Shimba ya Buyenze umesikia lakini anachosema pisi kali??
Anasema uingie kwenye 18 zake ubebishwe 😜
Fanya jambo bro umeokota dodo chini ya mnazi ujue 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Ushindwe na kidumu chako cha petroli. Boss Lady ni mtani wangu wa siku nyingi. Sema tu wametufungia kule kwenye uzi wetu wa Selfika siku hizi tumekuwa kama wakimbizi. Waifu wa mjeda huyo labda kama hunitakii mema kakako miye 🖐😁Kumbe ulikuwa unamuelewa kitambo khaaaa!!! Kaaka Shimba ya Buyenze umesikia lakini anachosema pisi kali??
Anasema uingie kwenye 18 zake ubebishwe 😜
Fanya jambo bro umeokota dodo chini ya mnazi ujue 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Bosi Ledi.🤠🤠🤠🤠🤠!
Namuelewa kitamboooo sema yee hanielewii na umbaumbau wangu huu nivokomaaa eti anipeleke wapi mi 🙄!
Ushunguuuuuuuuuuu😌!
Na mi Nataka anibebishe uduguuu sa niende wapi kila sehemu napigwa chambavu🙄🙄🙄!🤣🤣🤣🤣 yutiai bobevu inaswampaaa muno piemuni
My guy anaogopa yutiai hataki hata kuisogelea