Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo mbio ziende pm sasa ukatoe ya moyoni huko 😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Hatareee huyu mdada km namfahamu vile 🤣🤣🤣🤣
Mjumbe hauwawi lakini 🤣🤣🤣Yaani wewe dah!
Sijui tu ukoje 😁😁😁
Hapo chacha 😜Hebu kimbilia PM chap maana huyu Lamomy kwa kuchochea chochea moto hana mpinzani. Njoo PM please 😁🖐
😂 😂 😂 😂 😂We ni mwehu eti?
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Aisee. Mwanaume asipomuogopa Mungu ndo mambo yanakuwa hivyo.
Nikisema kumuogopa Mungu sisemi kujua Maandiko, hata Shetani anafahamu vizuri sana kuliko mwanadamu yeyote.
Sema ulikosea sana kuchoma nguo zake. Ungemove on tu.
Unaonekana una kiuno kigumu kama demu wakichaga rekebisha hilo utanishukuru badaye [emoji125][emoji125][emoji125]Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Bora hata uuingilie kati mama yao..., Badala achome nanilihiu yeye anachoma nguo, ndo nn sasaMabinti kuweni serious...
Tutakukaribisha kwenye comvo on one condition. Ikitokea tukapanga mechi basi na wewe inabidi uhudhurie kama mchezaji. Antonnia unasemaje? 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Hapo chacha 😜
Oyoooooooo!!! Umbea unavyoniwasha sasa!! Hamuwezi kuniongeza nisikilize uko piem?😜
Naahidi sichangii chochote me nitakuwa nalike tyuuu!! 😂😂😂
Ni wa hapa JF? 😳😳😳Hatareee huyu mdada km namfahamu vile 🤣🤣🤣🤣
umechoma nguo zake badaya ya kuchoma nguo za hao girl. hujioni kama hauna akili? na bado upo naye, na hawezi kuacha hao girls kwasababu kuna kizuri kwao kuliko kwako. cha kukuponya, okoka, omba Mungu na yeye aokoke, ili muwe na uwezo kushinda dhambi ya uzinzi na hasira za ajabuajabu hizo. la sivyo, hataacha, na utachoma nguo sana.Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
😂😂😂😂 ndio wamefanana labda twinsNi wa hapa JF? 😳😳😳
Kudadeki 😂😂😂😂😂Hv hii ID si nimeiona pahali ikizungumzia maswala ya kuchakata mademu
Mbona huku tena inasemea guy wake
Hahaha! Muache na my guy wake.2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?