Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Mimi nahman kijana handsome mwenye hela zangu kutoka uyole mbeya….nasemaaaaajeee

Bila kumchoma yeye hatujaridhika
 
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Hizo mbio ziende pm sasa ukatoe ya moyoni huko 😂😂😂
 
Tatizo m-log#nz-ila badala wa waongezee na kina manka miguu wao wanawaongezea makalio tuu mnakua kama uyoga alafu mnakuja kutuchomea nguo zetu. I
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.

Wanaume wote tuko hivyo now

Ww pambana kuwa namba moja Tu
 
Aisee. Mwanaume asipomuogopa Mungu ndo mambo yanakuwa hivyo.

Nikisema kumuogopa Mungu sisemi kujua Maandiko, hata Shetani anafahamu vizuri sana kuliko mwanadamu yeyote.

Sema ulikosea sana kuchoma nguo zake. Ungemove on tu.

Wanawake wanashindwa kuelewa kuwa ujasiri wa mwanaume unaanzia Kwa madem wengi

That's why wanaume tuna madem wengi ambao wako pending hata hatujalala nao ila tunawapa ela za matumizi
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Unaonekana una kiuno kigumu kama demu wakichaga rekebisha hilo utanishukuru badaye [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hapo chacha 😜
Oyoooooooo!!! Umbea unavyoniwasha sasa!! Hamuwezi kuniongeza nisikilize uko piem?😜
Naahidi sichangii chochote me nitakuwa nalike tyuuu!! 😂😂😂
Tutakukaribisha kwenye comvo on one condition. Ikitokea tukapanga mechi basi na wewe inabidi uhudhurie kama mchezaji. Antonnia unasemaje? 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
umechoma nguo zake badaya ya kuchoma nguo za hao girl. hujioni kama hauna akili? na bado upo naye, na hawezi kuacha hao girls kwasababu kuna kizuri kwao kuliko kwako. cha kukuponya, okoka, omba Mungu na yeye aokoke, ili muwe na uwezo kushinda dhambi ya uzinzi na hasira za ajabuajabu hizo. la sivyo, hataacha, na utachoma nguo sana.
 
Back
Top Bottom