Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
Mie nashangaa sana, ndo maana sitaki kudate mm [emoji16]Sijui yupoje huyu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nashangaa sana, ndo maana sitaki kudate mm [emoji16]Sijui yupoje huyu....
Huko umefika mbali shemMie nashangaa sana, ndo maana sitaki kudate mm [emoji16]
Shenzy kabisaaa, hapo ndo amejustify it was very right yeye kuchitiwaHuyu akiolewa atachoma nyumba na watoto na mumewe
Huyo akiwekwa ndani si ataua huyo ndugu yenu my guy wake hakiii ajitahidi kucontrol hasira zake hio ni hatari ![emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu hana hati miliki juu ya mwenzie mara ashaanza kuchoma choma nguo, wengine wanapasua tv eti
Hivi bastola zinauzwa wapi
Hahaa una vituko mkuu Nimecheka hapo " Ndiomana sitaki kudate mimi"Mie nashangaa sana, ndo maana sitaki kudate mm [emoji16]
Natania jamani😳😳😳😳😳😳😳😳
Najua bana. Hunaga baya na mtu labda tu siku Makolo wakifungwa 😁😁🏃🏿♂️Natania jamani
Au Yanga wakishindaNajua bana. Hunaga baya na mtu labda tu siku Makolo wakifungwa 😁😁🏃🏿♂️
😂😂 utamu wa my guy umemchanganya mtu…kachanganyikiwa.[emoji23][emoji23][emoji23] D we ni chizi nimecheka sanaa
Mbona hata tukifungwa sinaga baya?? 😀 😀 😀Najua bana. Hunaga baya na mtu labda tu siku Makolo wakifungwa 😁😁🏃🏿♂️
Duuuh au basi...
Weweeee!Mbona hata tukifungwa sinaga baya?? 😀 😀 😀
Ndio ni utoto na ndio mwisho wakufikiria ila nawanaume mtakuja kuchomwa moto ipo siku.Utoto raha sana
Kuchoma nguo na hata kuvunja TV sabuwufa na makorokocho mengine ya ndani ni tabia za Black Americans hizi. Hao wanaweza kukuchomea hata vyeti wakikiwasha tena umpate yule wa ghetto kabisa uwii. Hata we mwenyewe ukizubaa anaweza hata kukushindilia jisu la kifua au kukuitia niggah aliosoma nao waje wakunyoroshe. Sikujua kama huu utopolo umeshafika na huku kwetu!😂😂 utamu wa my guy umemchanganya mtu…kachanganyikiwa.
"ungezabuliwa" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Ur username doesn’t deserve you ibadili ASAP.
Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna boxer sku hz ten kei moja[emoji1787]Nguo zilivyopanda bei hivyo we unachoma tu
Nguo za wakaka unajua bei yake???
Hapo ukute hujawahi kumnunulia hata boxer.....my guy ya nyoko