Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu hana hati miliki juu ya mwenzie mara ashaanza kuchoma choma nguo, wengine wanapasua tv eti

Hivi bastola zinauzwa wapi
Huyo akiwekwa ndani si ataua huyo ndugu yenu my guy wake hakiii ajitahidi kucontrol hasira zake hio ni hatari !
 
Ujinga,ujinga,mfyuuuuuuuuu[emoji706]

Hasir zako za kijinga zitakupeleka pabaya.
 
Mpuuzi tu. Wewe mwenyewe mlikutana vipi? Si kwenye ujinga kama huo? Iweje leo hii uwaonee wivu wenzio? Unachokipata si na wao ndo wanachokitaka!
 
Mbona hata tukifungwa sinaga baya?? 😀 😀 😀
Weweeee!

Unakuwaga mkali hatari Makolo wakikandwa...

Mi naogopaga hata kukutania. Ila mara nyingi huwa unajiongeza na kutokomea kusikojulikana. Kwa vile ulishasema kuwa hata Mr. naye ni Makolo basi si ajabu huwa mnakwenda zenu kujifunika shuka gubi gubi na kuugulizia maumivu ya kukandwa kimya kimya kivyenu vyenu 😁😁😁
 
😂😂 utamu wa my guy umemchanganya mtu…kachanganyikiwa.
Kuchoma nguo na hata kuvunja TV sabuwufa na makorokocho mengine ya ndani ni tabia za Black Americans hizi. Hao wanaweza kukuchomea hata vyeti wakikiwasha tena umpate yule wa ghetto kabisa uwii. Hata we mwenyewe ukizubaa anaweza hata kukushindilia jisu la kifua au kukuitia niggah aliosoma nao waje wakunyoroshe. Sikujua kama huu utopolo umeshafika na huku kwetu!
 
Back
Top Bottom