Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Zingatia HANDBAG , hapo maana yake alibadilisha pedi nje ya nyumbani and she was not at liberty to dispose it huko alipokuwepo, so akaamua aje nayo kwenu, only kuishia kusahau.
Hakuna ushirikina hapo, angekuwa mshirikina ungekua umeshazila na kujilamba kwenye madikodiko na misosi mingine anayokuandalia.
 
Sie wengine pedi na mambo yote yanayohusu periods ni issue za mume kuanzia kuzingatia kalenda, kununua pedi, kuzibandika ili tukitoka kuoga tukute zipo tayari kwenye chupi mpk kuzichoma tunapozitoa.

Sikwambii uige ila hakuna uchawi wowote, period sio kitu cha kukihusisha na ushirikina. Ni kama mwanaume kuota ndevu!
Anyways
Hata sijui ka naweza kukushauri kitu.
 
Acha mawazo Mabaya
 
Bora hata wewe uliiona kabatini mimi toka niwe na mke wangu mwaka wa 8 huu sijawahi kuiona ped yake anakoweka.

Wanawake wengi sana wanaojitambua ped na chupi zao wanapoanika huwez kujua au huwez kuona wamezitupa wapi sabab mtu mbaya akiishika tu ped yako umeisha kuanzia afya mpaka uzazi.

Na wengine huchukua ile ped ya siku ya kwanza ya mzunguko then anaifunga hapo utapiga hata miaka 6 hapati mimba siku akitaka mimba anaifungua ngoma imo na bahat mbaya ikipotea ikiwa imefungwa hapo atakufa hapo atakufa mgumba
 
Usitafute sana maana kwenye vitu vya mke wako, huyo ni ubavu wako muite muulize atakachokwambia amini hicho hicho

Huyo ndiyo wako wa kufanana naye
 
Umeruhisuje hayo yatokee? Ina maana gani kumuoa kama unashindwa kumthibiti? Yaani msichana anunua ped na MKE anunue,? Zalisha Mzee, jaza dunia ukiwapa nafasi wanakuwa kama akina zari umama wanataka na usichana wanautaka. Sasa zote mfanye awe na harufu ya maziwa ya mtoto
 
Yawezekana Pia Chief , kilichonipa hofu ni baada ya Kuchoma ya Kwanza ambayo ilikuwa ishakaa muda mrefu, afu tena nakuta tena nyingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…