X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
mbona kama unatufokeaWe jamaa, kwenye pochi ya mkeo unatafuta Nini?
Nijibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kama unatufokeaWe jamaa, kwenye pochi ya mkeo unatafuta Nini?
Nijibu
Zingatia HANDBAG , hapo maana yake alibadilisha pedi nje ya nyumbani and she was not at liberty to dispose it huko alipokuwepo, so akaamua aje nayo kwenu, only kuishia kusahau.Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Yaani awe na access ya papuchi ya mkewe lakini pochi iliyonunuliwa pale mchikichini iwe mwiko?We jamaa, kwenye pochi ya mkeo unatafuta Nini?
Nijibu
You're Missed Dada MkubwaSie wengine pedi na mambo yote yanayohusu periods ni issue za mume kuanzia kuzingatia kalenda, kununua pedi, kuziweka kwenye chupi mpk kuzichoma.
Hata sijui ka naweza kukushauri kitu.
Happy New Year kipenzi!You're Missed Dada Mkubwa
Happy New Year...
Hebu acheni hizo 😂😂😂Hapo inasubiri vichanganywe kwenye sotojo la nyama, au kuku ili akili zikukae sawa..maana hutoi hela.
Ukiambiwa usaidie kwao unaleta ujuaji..🤣
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Happy New Year kipenzi!
Napitamo pitamo mara mpoja moja
Thank u Oddo!
Kisses!
Jamani wewehii komenti ishanitia nyege, twendeni taratibu jamani wengine hatuna wake
Em nenda unitag mkuu... Ndo naingia hapa saiziUzi wa kule umeuona?. Umemchanganya tayari mwamba. Au ni gear tu siku hizi mabaharia wameanzisha za kuwang'oa kirahisi?.
Natania tu Aaliyyah..! 🤣 huyo atakua alijasahu akahifadhi tuHebu acheni hizo 😂😂😂
Acha mawazo MabayaSiku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Bora hata wewe uliiona kabatini mimi toka niwe na mke wangu mwaka wa 8 huu sijawahi kuiona ped yake anakoweka.Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Usitafute sana maana kwenye vitu vya mke wako, huyo ni ubavu wako muite muulize atakachokwambia amini hicho hichoSiku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Umeruhisuje hayo yatokee? Ina maana gani kumuoa kama unashindwa kumthibiti? Yaani msichana anunua ped na MKE anunue,? Zalisha Mzee, jaza dunia ukiwapa nafasi wanakuwa kama akina zari umama wanataka na usichana wanautaka. Sasa zote mfanye awe na harufu ya maziwa ya mtotoSiku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo inasubiri vichanganywe kwenye sotojo la nyama, au kuku ili akili zikukae sawa..maana hutoi hela.
Ukiambiwa usaidie kwao unaleta ujuaji..[emoji1787]
tumeichukia hii point tunaifanyia uchambuziNiliwahi kusikia sehemu mwanamke akificha hivyo pedi moja bila kuonekana na mtu anakuwa hashiki mimba hata ikiwa siku ya hatari, akitaka kubeba mimba anaitoa, na ikionekana na mtu mwingine kama hivyo inakuwa haifanyi kazi tena... birth control ya mabibi wa enzi
Yawezekana Pia Chief , kilichonipa hofu ni baada ya Kuchoma ya Kwanza ambayo ilikuwa ishakaa muda mrefu, afu tena nakuta tena nyingneZingatia HANDBAG , hapo maana yake alibadilisha pedi nje ya nyumbani and she was not at liberty to dispose it huko alipokuwepo, so akaamua aje nayo kwenu, only kuishia kusahau.
Hakuna ushirikina hapo, angekuwa mshirikina ungekua umeshazila na kujilamba kwenye madikodiko na misosi mingine anayokuandalia.