a4afrika JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 1,456 Reaction score 1,459 Feb 14, 2024 #141 Caeser said: Hahah kwa kweli , nishatia kibirit mbili sasa. Click to expand... Wee jamaa umemtia ugumba mke wako. Hicho kitambaa kilikaushwa nje na kukauka to the maximum, akakirudisha ndani kukihifadhi, akakuachia uwanja free ujivinjari tani yako. Ili ashike mimba ilipaswa akitie maji akifue au akitupe. Sasa wewe umekichoma, ni kama umemfunga uzazi. Possible aliweka cha pili akiamini cha kwanza kimetupwa nje na kuingia maji. Mwambie ulichofanya. Lakini kama una watoto jitahidi uwapeleke jandoni na unyagoni wakajifunze mengi, maana ni kama wewe umepitwa na mengi.
Caeser said: Hahah kwa kweli , nishatia kibirit mbili sasa. Click to expand... Wee jamaa umemtia ugumba mke wako. Hicho kitambaa kilikaushwa nje na kukauka to the maximum, akakirudisha ndani kukihifadhi, akakuachia uwanja free ujivinjari tani yako. Ili ashike mimba ilipaswa akitie maji akifue au akitupe. Sasa wewe umekichoma, ni kama umemfunga uzazi. Possible aliweka cha pili akiamini cha kwanza kimetupwa nje na kuingia maji. Mwambie ulichofanya. Lakini kama una watoto jitahidi uwapeleke jandoni na unyagoni wakajifunze mengi, maana ni kama wewe umepitwa na mengi.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Feb 15, 2024 #142 Haiitaji kuwa na fedha za kigeni kujua kuwa mkeo ni mchafu..nyie ni ndege mfananao
Mkwawe JF-Expert Member Joined Jun 10, 2016 Posts 3,132 Reaction score 5,508 Feb 23, 2024 #143 Caeser said: Hiii inaweza kuwa kweli, maana zaid ya Mwaka sasa hakuna ku conceive. Click to expand... Na ulivyounguza hiyo pedi umeharibu inaonekana wewe na mkeo sio marafiki
Caeser said: Hiii inaweza kuwa kweli, maana zaid ya Mwaka sasa hakuna ku conceive. Click to expand... Na ulivyounguza hiyo pedi umeharibu inaonekana wewe na mkeo sio marafiki
D Deleted01 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 2,800 Reaction score 6,927 Mar 3, 2024 #144 Huyo mchafu tu, hakuna kingine
D Deleted01 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 2,800 Reaction score 6,927 Mar 3, 2024 #145 Mightyarmy said: Embu jamani muwe matured. Maswali mengine si ya kuuliza hapa. Click to expand... Vifua mtihani.
Mightyarmy said: Embu jamani muwe matured. Maswali mengine si ya kuuliza hapa. Click to expand... Vifua mtihani.
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 6,736 Reaction score 10,669 Mar 3, 2024 #146 Uzazi wa mpango
S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,719 Mar 3, 2024 #147 Pamoja na yote ila suala la kukagua pochi ya mkeo sio zuri kabisa,acha tabia za wavulana.
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Mar 3, 2024 #148 Mkeo ni mchafu wa tabia. Hayo makitu mwanaume hatakiwi kuyaona. Sasa hadi wewe unayaona ina maana mkeo ni mchafu.
Mkeo ni mchafu wa tabia. Hayo makitu mwanaume hatakiwi kuyaona. Sasa hadi wewe unayaona ina maana mkeo ni mchafu.
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,616 Reaction score 1,282 Sep 21, 2024 #149 Ni moja ya njia ya uzazi wa mpango