Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Hahah kwa kweli , nishatia kibirit mbili sasa.
Wee jamaa umemtia ugumba mke wako.

Hicho kitambaa kilikaushwa nje na kukauka to the maximum, akakirudisha ndani kukihifadhi, akakuachia uwanja free ujivinjari tani yako.

Ili ashike mimba ilipaswa akitie maji akifue au akitupe. Sasa wewe umekichoma, ni kama umemfunga uzazi.

Possible aliweka cha pili akiamini cha kwanza kimetupwa nje na kuingia maji.

Mwambie ulichofanya. Lakini kama una watoto jitahidi uwapeleke jandoni na unyagoni wakajifunze mengi, maana ni kama wewe umepitwa na mengi.
 
Haiitaji kuwa na fedha za kigeni kujua kuwa mkeo ni mchafu..nyie ni ndege mfananao
 
Pamoja na yote ila suala la kukagua pochi ya mkeo sio zuri kabisa,acha tabia za wavulana.
 
Mkeo ni mchafu wa tabia. Hayo makitu mwanaume hatakiwi kuyaona. Sasa hadi wewe unayaona ina maana mkeo ni mchafu.
 
Back
Top Bottom