a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Wee jamaa umemtia ugumba mke wako.Hahah kwa kweli , nishatia kibirit mbili sasa.
Hicho kitambaa kilikaushwa nje na kukauka to the maximum, akakirudisha ndani kukihifadhi, akakuachia uwanja free ujivinjari tani yako.
Ili ashike mimba ilipaswa akitie maji akifue au akitupe. Sasa wewe umekichoma, ni kama umemfunga uzazi.
Possible aliweka cha pili akiamini cha kwanza kimetupwa nje na kuingia maji.
Mwambie ulichofanya. Lakini kama una watoto jitahidi uwapeleke jandoni na unyagoni wakajifunze mengi, maana ni kama wewe umepitwa na mengi.