Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.

Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.

Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Limbwata hilo uchawi wa mapenzi umefanyiwa na mke wako.
 
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.

Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.

Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
dah,
afadhali uliipiga moto maana ulisha wekwa kabatini tayari...

R.I.P Laugwanan comrade ENL
 
Back
Top Bottom