Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukute usiku kupaki gari nje hawezi, anataka apaki ndani kwa ndani....wanawake wengine hawawezi njia za mikemikali ndio wanafanya za asili.Mwanaume mfukunyuku mpk kaharibu uzazi wa mpango wa mwenzie 🤣🤣🤣
Usijali, vibe letu kama Kawa.....ngoja nisake maokoto🤣Urudi bana nakumiss huku jukwaani tuchachue watu 😂
Mdogo wangu Caeser mkeo anatumia njia ya uzazi wa mpango wa asili nasikitika kuona comment zenye ujinga za watu zinazohusisha jambo la mkeo na ushirikina au uchafuAhsante kwa Ushauri wako Mkuu .
Maana hawa ndugu zetu wana mambo mengi
Hivi hii njia ya kufunga Pedi ni reliable?Mdogo wangu Caeser mkeo anatumia njia ya uzazi wa mpango wa asili nasikitika kuona comment zenye ujinga za watu zinazohusisha jambo la mkeo na ushirikina au uchafu
That is really ignorance
Fanya uchinguzi utakuja amini maneno yangu
It depends reliable to whom because sometimes it involves someone's faith but most of the users admit that it's reliable and some denyHivi hii njia ya kufunga Pedi ni reliable?
Bado nmekufa 😃umefufuka?
Nawe unachomewaga pedi na baby wako? Mna raha jamaniHasira za mwenzio kuolewa, baby wake anamsaidia hadi kuchoma uchafu
IDWe jamaa, kwenye pochi ya mkeo unatafuta Nini?
Nijibu
Miezi mitatu? Pedi kwenye pochi?Namm nilikuwa nadhan hivyo lakini sasa ,kwann iwe Moja tu.
Kuna Moja hiyo ilikuwa Ina zaidi ya Miezi Mitatu maana ilikuwa ishakauka
Hahah 😂Labda kasahau ila labda pia aliombwa na sangoma wake......wanaume tunalishwa matakataka Mungu atusaidie......tuwe positive ....alisahauuu
Limbwata hilo uchawi wa mapenzi umefanyiwa na mke wako.Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
😂😂😂Hapo inasubiri vichanganywe kwenye sotojo la nyama, au kuku ili akili zikukae sawa..maana hutoi hela.
Ukiambiwa usaidie kwao unaleta ujuaji..🤣
dah,Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.