Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Mdogo wangu Caeser mkeo anatumia njia ya uzazi wa mpango wa asili nasikitika kuona comment zenye ujinga za watu zinazohusisha jambo la mkeo na ushirikina au uchafu
That is really ignorance
Fanya uchinguzi utakuja amini maneno yangu
Hiii inaweza kuwa kweli, maana zaid ya Mwaka sasa hakuna ku conceive.
 
Kwahiyo hukuona majina yote mpk uibe langu???
Kuna watu mna mambo ya ajabu
Jamani huyu sio mimi ni dume gani sijui limeamua kujiita cute wife ili litrend jf
Kitulize Mkuu, jina lingekuwa na shida ningeshindwa kujisajili, hakuna popote niliposema mimi ni Lamomy, na sijawahi kujihusisha na wewe. Usitafute vita isiyo na kichwa wala miguu.
 
Kitulize Mkuu, jina lingekuwa na shida ningeshindwa kujisajili, hakuna popote niliposema mimi ni Lamomy, na sijawahi kujihusisha na wewe. Usitafute vita isiyo na kichwa wala miguu.
Haya kaka cute wife endelea na kampeni zako
 
Sijawahi kukutafuta au kukugusa, tafadhali na wewe jitulize
Unanitafuta kwann uchukue username ambayo ilikuwa sio yako?? Tulikubaliana na mods ifutwe, ww yalikusibu yapi ujiite hivyo??
Nyie ndo wenye id’s nyingi nyingi humu mnapanga kutapeli, si utumie jina la id’s zako nyingine..!!
 
Aisee, em mtandike kwanza.
Sipendi mtu anayeweka mapedi hovyo panapoonekana.

Au anabadili kazini akirudi home anasahau kutoa? Na wewe kwanini unakagua pochi zake? We ni mdokozi?
Hajawekw hovyo jamani ni kwenye pochi yake😀
 
Ukimchunguza sana mkeo utapata shida,mfanya kama huelewi vile utaishi miaka mingi.
 
Mkuu watu kama nyie ndio mnaosababisha kataa Ndoa kama sisi tuchukue ushindi mapema kabla ya dk 90.Iko hivi baada ya matumizi Kuna zoezi la kudispose hiyo kitu So wakati wengine wanatupa tupa tu njiani au vyooni bila utaratibu Hadi kupelekea kuziba vyoo mpenzi wako anaona ni busara kuitunza kwenye handbag yake Hadi atakapo PATA sehemu convinient ndipo adispose.Now wewe na ulevi wako na inavyoonekana hujavunzwa uanaume unaenda kagua handbag yake halafu unakuja kumuanika Jf,!!!!Niga achana na mademu fanya kazi nyingine.
 
Back
Top Bottom