Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila watu,[emoji23]Mkeo mshirikina huyo, hua anaweka kwenye mboga baadhi ya vipande vya pedi vyenye damu.
Ehhh kumbe ?Njia ya uzazi wa mpango hiyo.....na hivo ukiiona unakuwa umeharibu.
Usipende kupekua vitu vya mkeo.
HahahahaHapo usiwe na wasiwasi kabisa hakulogi wewe anamloga mchepuko wake uko salama bro relax
Ehhh hatari sanaHatak kushika Mimba....
Hizo ni mbinu za kijadi
Hiii inaweza kuwa kweli, maana zaid ya Mwaka sasa hakuna ku conceive.Mdogo wangu Caeser mkeo anatumia njia ya uzazi wa mpango wa asili nasikitika kuona comment zenye ujinga za watu zinazohusisha jambo la mkeo na ushirikina au uchafu
That is really ignorance
Fanya uchinguzi utakuja amini maneno yangu
Ndiyo, baada ya Kuichoma hiyo ilokuwa imekaa muda mrefu nadhan zaidi ya Miezi Mitatu (3)maana ilikuwa ishakauka balaa, ndo ninekuta nyingne tenaMiezi mitatu? Pedi kwenye pochi?
Ahsante ChiefKuwa makini kiongozi
Ulimbaga🤭Mkeo mshirikina huyo, hua anaweka kwenye mboga baadhi ya vipande vya pedi vyenye damu.
Hahah kwa kweli , nishatia kibirit mbili sasa.Endelea kutia Moto, siku akikuuliza na wewe unamfungukia.
Kitulize Mkuu, jina lingekuwa na shida ningeshindwa kujisajili, hakuna popote niliposema mimi ni Lamomy, na sijawahi kujihusisha na wewe. Usitafute vita isiyo na kichwa wala miguu.Kwahiyo hukuona majina yote mpk uibe langu???
Kuna watu mna mambo ya ajabu
Jamani huyu sio mimi ni dume gani sijui limeamua kujiita cute wife ili litrend jf
Haya kaka cute wife endelea na kampeni zakoKitulize Mkuu, jina lingekuwa na shida ningeshindwa kujisajili, hakuna popote niliposema mimi ni Lamomy, na sijawahi kujihusisha na wewe. Usitafute vita isiyo na kichwa wala miguu.
Sijawahi kukutafuta au kukugusa, tafadhali na wewe jitulizeHaya kaka cute wife endelea na kampeni zako
Unanitafuta kwann uchukue username ambayo ilikuwa sio yako?? Tulikubaliana na mods ifutwe, ww yalikusibu yapi ujiite hivyo??Sijawahi kukutafuta au kukugusa, tafadhali na wewe jitulize
Hajawekw hovyo jamani ni kwenye pochi yake😀Aisee, em mtandike kwanza.
Sipendi mtu anayeweka mapedi hovyo panapoonekana.
Au anabadili kazini akirudi home anasahau kutoa? Na wewe kwanini unakagua pochi zake? We ni mdokozi?
Mtoa mada mdokozi 😩😂Hajawekw hovyo jamani ni kwenye pochi yake😀