Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.

Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.

Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.

Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.

IMG-20210609-WA0020.jpg
IMG-20210609-WA0019.jpg
 
Sijaelewa vizuri, body ndio imeundwa hapa ama kuanzia chassis, engine na body vyote vimeundwa hapa Tanzania?
Viwanda vyote vya magari duniani huwa ni assemblers tu. Wanasource vifaa mbalimbali vya magari kutoka kwa watengenezaji mbalimbali. Injini kutoka kwa huyu na suspension system kutoka kwa mwingine.
 
Viwanda vyote vya magari duniani huwa ni assemblers tu. Wanasource vifaa mbalimbali vya magari kutoka kwa watengenezaji mbalimbali. Injini kutoka kwa huyu na suspension system kutoka kwa mwingine.
Kama ni hv bas sio bas ya kwanza kuhundwa bongo. Wajitaidi wabadirishe huo muonekano kwa mbele maana unafanana na bus za kichina.

Ila ni jambo zuri
 
Sina ufahamu na uhalali wa hii habari ila kwa wale wanaong'ang'ana na assemble in TZ ni hivi Viwanda karibu vyote vya magari vina source ya kupata engine, gearbox, electrical equipment ndo wanaasemble magari. Kama hii ni mwendelezo wa uundaji magari nchini hongereni sana wahusika, hongera serikali. Hawa watu wawezeshwe.
 
Binafsi swali langu ni dogo na rahisi sana... How Much did it Cost ? Hayo mambo ya assembled au made tayauliza baadae baada ya kujua hili swali la msingi

Kuna nchi kama UK zilifunga baadhi ya viwanda / assembling plants..., sio kwamba hawawezi au hazileti ajira..., bali production cost was prohibitive....
 
Back
Top Bottom